ajira kwa vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  2. A

    SoC04 Changamoto na jawabu la ajira kwa vijana

    Ajira kwa vijana ni suala nyeti na muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Tanzania. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, zaidi ya nusu ya idadi ya watu nchini Tanzania ni vijana wenye umri wa chini ya miaka 35. Hii inaonesha kuwa nguvu kazi kubwa ya taifa ni vijana, ambao wanategemewa kwa...
  3. T

    SoC04 Kisiwa cha nuru mpya kimeniletea faraja

    Kwa furaha zaidi ningependa kumshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kunipa pumzi kwa kila siku mpya. Nimeleta mawazo yangu kwenye jukwaa hili yaweze kuleta chachu na mwanga kwenye sekta mbalimbali nchini. Hasa kwenye suala la Elimu upande wa sekta ya Ajira kumekuwa na changamoto kubwa...
  4. Feisal2020

    SoC04 Uhaba wa Ajira kwa Vijana: Serikali Ifanye Haya Kuimarisha Gig Exonomy

    "Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli hiyo itolewe na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Suala la iwapo...
  5. Hakuna anayejali

    Kwa majobless na vijana baadhi Tv zimeharibu akili yao

    Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu, bali wanatazama kuiga mambo. Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya hovyo, nyodo, namna gani ajibaraguze anapotongozwa, kusema hovyo akiumizwa na kuchamba, kijana wa kiume...
  6. Angyelile99

    Wazo fikirishi kuhusu ajira kwa vijana kaya masikini ili kuondoa utegemezi

    Binafsi naona serikali itumie njia ya recruiting vijana waliopata elimu aidha kwa ngazi ya diploma ama degree wanaopatikana katika familia zinazofadhiliwa na mfuko wa TASAF ili kuondoa dhana ya utegemezi kwa vijana hawa na kupunguza umasikini kwa kupata ajira zitakazowawezesha kujikimu wao na...
  7. ismaili sogora

    Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira

    Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira. Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina kwa fedha za kuajiri wahitimu wengi waliopo mtaani.
  8. M

    SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  9. H

    SoC04 Tufanye haya kuboresha ajira kwa vijana wa taifa

    Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani. Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
  10. F

    Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

    Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi. Nini kifanyike? Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
  11. ejoh

    SoC04 Mkombozi wa tatizo la ajira kwa vijana ni vijana

    [GASTON JORDAN LIVIGHA] [gaejombishi@gmail.com] UTANGULIZI Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa ajira. Nikiwa kama muhitimu wa chuo cha Dodoma shahada ya mipango na usimamizi wa miradi na maendeleo...
  12. Raphael Alloyce

    Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
  13. BARD AI

    Wabunge wapendekeza Umri wa Kustaafu upunguzwe ili Vijana waajiriwe

    Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe. Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
  14. Kijana LOGICS

    Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

    Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania. Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno. Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo Mfano rais wa...
  15. Rama255

    SoC03 Ajira kwa vijana

    Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania hawana ajira. Hii ni sawa na watu milioni 7.3. Ukosefu wa ajira kwa vijana ni tatizo kubwa kwa sababu...
  16. Francis001

    SoC03 Utawala bora Mabadiliko na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kujenga taifa lenye maendeleo endelevu na imara. Nchini Tanzania, kuna fursa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika nyanja za utawala bora, uchumi, na ajira, hususan kwa vijana ambao ni rasilimali muhimu ya taifa. Katika makala hii, tutachunguza...
  17. Francis001

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora Tanzania: Kukuza Uchumi na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia Utawala Bora. Hata hivyo, kwa kuzingatia mabadiliko na utekelezaji wa mikakati sahihi, Tanzania inaweza kufungua fursa mpya za maendeleo katika nyanja zote za kiuchumi na kijamii. Makala haya...
  18. Tukuza hospitality

    SoC03 Uchumi wa Buluu Uimarishwe ili Kuboresha Uchumi na Ajira kwa Vijana Tanzania

    Utangulizi Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za kujipati kipato, na ajira, huku afya ya mfumo wa ikolojia ukihifadhiwa”. Kwa mujibu wa Kamisheni ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Fursa za Ajira kwa Vijana Zinasaidia Kuongeza Kodi kwa Serikali

    MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI "Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupigania watanzania na Jimbo la Masasi kuhakikisha changamoto za...
  20. kuchkuch hotahe

    Utumishi rekebisheni kidogo hii

    Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri. Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili. Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
Back
Top Bottom