ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    Kiwanda kipya cha kuunganisha magari Kimefanikiwa kutoa ajira mpya 3000

    Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
  2. muafi

    Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  3. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  4. Peter Madukwa

    Ushauri: Badala ya Nyongeza ya Mshahara, Serikali ijikite katika ajira mpya na mfumuko wa bei

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika...
  5. mwanazuoniog

    Ajira Mpya 44 Tanzania

    Deleted
  6. Amina68

    Waombaji wa ajira za kada za afya, majina yao yameorodheshwa

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 16 Aprili, 2022 hadi tarehe 03 Mei, 2022 kwamba zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi yaliyopokelewa limekamilika. Waombaji waliokidhi...
  7. mwenye shamba

    Tarehe ya kuripoti ajira mpya ualimu

    Jamani naombeni kujua tarehe ya kuripoti tu ndugu zanguni,huku mtaani pamenichosha kabisa.
  8. L

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya
  9. Lady Whistledown

    Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  10. Clark boots

    Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

    Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057. So...
  11. B

    Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

    Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza. Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi. Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi. Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
  12. A

    TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
  13. A

    Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe 1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani 2. Kwa...
  14. L

    Ajira Mpya 2100 TRA- 12 March, 2022

    Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo post za jana gazeti la tarehe 12/02/2022.
  15. A

    Ajira mpya za walimu 2022

    Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu watakaopewa vipaumbele ili kijana anayeishi kijijini asisumbuke kwenda mjini kuhangaikia application na...
  16. Fred Katulanda

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  17. Greg50

    Ajira Mpya Serikalini ( TAMISEMI) watu 233

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo...
  18. M

    Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  19. P

    Shukrani kwa Rais Samia na Serikali yako tukufu

    Tunashukuru Mh. Rais Samia na Serikali yako sasa tumeanza kuona ajira mpya. Ni jambo la kheri na inatia faraja kiasi. Lakini pamoja na hayo yote mema na mazuri, Mheshimiwa tunaomba usawa katika nafasi hizi kama ikikupendeza nikiwa na maana hii: 1. Kuna baadhi ya kada hazipati fursa ya kutoa...
  20. SAKA25

    Ajira mpya za walimu 10,000 zinakuja mwaka huu wa fedha 2021/22

    Ajira mpya zimepunguza uhaba wa Walimu wa Sayansi =AZWFt27YcO67kbShO8yXVYcSKqMkT6-epL7OG-vvW_J7xFgRydHODCvYTMHUXVXZp7O6FHXfEs8s2Zp3ngaIKABVJeQYsqufpgOjwzBO08RmPcUKjiii7YytKCIfOiW7Da1rPVEx0n1L6SaZMFthh_hr&tn=-]K-R']Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
Back
Top Bottom