Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO kilichopo Bagamoyo kinatangaza nafasi za assistant lecturer, lecturer na senior lecturer katika masomo ya Chemistry, Physics, English, History na Economics
Vigezo ni 3.5 undergraduate na 4.0 Masters (Minimum requirements)
Kwa maelezo zaidi I have...
Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma nyota na upiga ramli.
Kwa mfano wanaoitwa wataalamu wa uchambuzi walitabiri Afrika tutakua na vifo...
Kwa wale wanaopenda kufanya kazi kwenye mashirika ya ndege, hapa kuna nafasi mpya moja ya kazi Precision Air. Maelezo yote soma kwenye PRECISION AIR VACANCIES
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.