A
Anonymous
Guest
Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa kazini.
Soma Pia: Ajira Mpya (Kada ya Afya na Walimu), Manispaa ya Kibaha tuna mwaka mmoja na nusu sasa lakini hatujathibitishwa kazini
Tukiuliza tunaambiwa tuendelee kusubiri, wakati mwingine tunajibiwa vibaya na wahusika.