kalambo

  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo kwa kushirikina na TRA yatoa vitenge 200 kwa wajawazito

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya Kalambo na vituo vya kutolea huduma za afya kama sehemu ya kurejesha faida kwa wananchi. Mkuu wa Wilaya...
  2. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

    Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu...
Back
Top Bottom