KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
 
Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
Yes,
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra wakati changamoto yenu inashughulikiwa,

endeleeni kuchapa kazi ya kuwatumikia wananchi bila kuchoka wala kukata tamaa, haki yenu ipo na tayari karibu bajeti za wizara zote zimeshawasilishwa bungeni, ni wazi mtapewa stahiki zenu.

Tafadhali,
iwieni radhi serikali sikivu ya CCM kwa changamoto hiyo isiyo ya kawaida na iliyoko kua nje ya uwezo wake 🐒
 
Back
Top Bottom