KERO Ajira Mpya, Sekta ya Afya - Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi hatujalipwa Pesa ya Kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hatujalipwa pesa ya Kujikimu.

Kila tukifuatilia, tunaambiwa pesa hazijatoka Hazina. Wilaya yetu hii walimu tulioripoti nao kazini wamepewa pesaa za kujikimu karibu wote.

Jambo jingine, hapa Hospitali ya Wilaya Nachingwea ,Viongozi wanatumia madaraka yao vibaya kuwahamisha vituo watu wanahojii sana mambo kazini. Hali hii inapelekea hofu ya watu kutohoji wakijua watapelekwa vijijini kutoka mjini walikokuwa wanafanya kazi😪😪
 
Mama amewqambia wale kwa urefu wa kamba na wakizidi sana watajeni majina waone aibu
 
Back
Top Bottom