Hatujalipwa pesa ya Kujikimu.
Kila tukifuatilia, tunaambiwa pesa hazijatoka Hazina. Wilaya yetu hii walimu tulioripoti nao kazini wamepewa pesaa za kujikimu karibu wote.
Jambo jingine, hapa Hospitali ya Wilaya Nachingwea ,Viongozi wanatumia madaraka yao vibaya kuwahamisha vituo watu...
Tunaambiwa....
Sukari haifai..
Chumvi haifai...
Mafuta hayafai...
Juice ya matunda haifai...
Matunda mchanganyiko hayafai...
Unga wa sembe haufai...
Unga wa dona uliopita mashineni haufai maana unatuvyuma bora strange na kinu hahaha....
Nyama hazifai zinavimelea vya magonjwa ...
Wali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.