ajira

  1. R

    Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  2. Intelligence Justice

    Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  3. Dodo86

    Anahitajika mwalimu wa kindergaten

    Anahitajika mwalimu wa kindergarten na Daycare kwa mawasiliano zaidi 0749928289
  4. MamaSamia2025

    Serikali ifanye hivi kusaida NETO na vijana wengine wasio na ajira

    Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la ajira lililopo na kuzuia huu uanzishwaji wa vikundi vya vijana wasio na ajira. Haileti picha nzuri...
  5. E

    Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
  6. 3

    Msaada wa Ajira

    Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kazi🙏 yoyote ile ambayo ni halali iwe ya professionalism yangu au kazi yoyote ya kawaida Dukani, viwandani, ofisini au kokote kule.
  7. Riskytaker

    Ajira za walimu zilikua 14,000 wameajiri 6000 halafu wamekaa kimya takribani siku 7 hakuna kinachoendelea

    Serikali imekuwa ikitangaza ajira lakini mara kwa mara matokeo hayalingani na ahadi. hii ni kwakada zote Hivi karibuni, tumeshuhudia uajiri wa walimu 6,000 badala ya 14,000 waliotarajiwa, bila maelezo ya kina kuhusu upungufu huo. Hii ni dalili ya ukosefu wa uwazi na kutowajibika kwa wale...
  8. Wakwetu03

    CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  9. K

    Msaada wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato

    Habari zenu wakuu. Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimekuwa nikifuatilia platform hii kwa miaka kadhaa sasa. Lengo la kuja hapa jukwaani ni kuomba msaada wenu wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato chochote cha kuisaidia familia yangu... Binafsi nina elimu ya kidato cha...
  10. T

    Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  11. Intelligent businessman

    Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  12. Eli Cohen

    Umoja wa vijana wasiokuwa na ajira na wenyewe wameona wasikae kimya.

  13. Mi mi

    Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  14. Akilindogosana

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  15. Carlos The Jackal

    Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

    Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi . Khaaa?? This is a shame !!. Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi. Yaan...
  16. Akilindogosana

    Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

    Ushauri Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO) Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO) Karibuni kwa maoni =================== Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
  17. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  18. dorge

    Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea. Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
  19. KingPower

    Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
Back
Top Bottom