Wakuu habari .
Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 24
Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto)
Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo.
Elimu yangu ni shahada ya elimu kufundisha kiswahili na kiingereza.
Hivyo natafuta Kazi zifuatazo.
Kufundisha Kama Mwalimu kuanzia primary...
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili.
Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao...
BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani.
Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili .
Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa .
1.Je ispofanyika hivo Athari zake ni nini?
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
Habari Wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 23(ke) nahitaj ajira ambazo zipo au kwa wale wanaohitaj wafanyakazi kazi yoyote nafanya na elimu ya form 4 tusaidiane ntashukuru kwa muajir ikifanikiwa
No;0750302068
Habarini wanaJamiiForums,
Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa sana.
Yaani Mwalimu aliyemaliza chuo mwaka 2019, Unapoenda kumpambanisha interview na aliyemaliza...
Habari zenu wana jukwaa?
Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc.
Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja?
Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA.
Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao
Wasio na connection wanatoboa hapa ?
Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho husika limetolewa Feb, 2024.
Nauliza hizi asilimia za NBS zinaakisi uhalisia uliopo kwa ground? Kwamba...
Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana.
Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
Elimu ni bahari
Elimu ni hazina
Elimu ni ufunguo wa maisha.
Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu.
Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
Habari za wakati huu wanaJF,
Naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hili.
Pengine kwenu wanaJF mlitumia njia zipi kuweza kupata ajira au kujiajiri, nimeuliza hili kwa sababu naona maisha yanazidi kunipalia, binafsi nimehitimu shahada ya mambo ya uchumi na takwimu nimejitahidi kutafuta ajira kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.