Mkuu Twende Wote Hapa😁
If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
Habarini Wakuu!!!!
Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden).
Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku...
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000
Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000
Watembeza mayai mchemsho nafasi 500
Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000...
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.
Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.
Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Habarini wana JF
Natafuta kazi maeneo ya Moshi.
1. Stationery
2. Supermarket
3. Sheli
Elimu yangu: Nimehitimu Chuo Kikuu
Naombeni connection
Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya
Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani.
Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo?
Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa?
Acheni kutesa watoto wa watu.
Hakuna graduate...
Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa na matatizo flani kwenye maisha, mimi ni mwalimu ualimu hauwezi kuwa kimbilio , hii idadi ya...
Walimu 200,000 kugombania nafasi 14,000 ni kiashiria hii sekta haihitaji kuzalisha Walimu tena kutoka vyuoni, walioko wanatosha na kupitiliza. Hata serikali ikiwa inaajiri walimu 10,000 kila mwaka(kitu ambacho hakiwezekani) itahitaji miaka 20 kuweza kuwachukua wote katika ajira.
Mungu mkubwa japokuwa tuition yangu ni majumbani nawatembela watoto wa kishua hapa mtaani. Nilifanya savey mwezi wa 10 mwishoni hapa mtaani, kweli baada ya likizo nikapigiwa na wazazi wanne. So nikawa nawapangia tu muda tofauti tofauti.
Nashukuru nimetuna, likizo hii sijakaa kinyonge, tuwe...
Habari!
Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko - DSM. Send CV and recent photo to: joerk2045@gmail.com
Only shortlisted will be contacted.
Labda kama ni kilimo cha kumpatia chakula chake tu. Lakini kama ni kilimo cha kumpatia hela, asahau "kutoboa" bila mtaji!
Kilimo kinajitaji hela! Kilimo kinahitaji uwe umejipanga! Vinginevyo, utakuwa msindikizaji tu!
Ninawashangaa wanasiasa wanaowashauri vijana wasiokuwa na ajira kwamba eti...
Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba...
Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu.
Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti nan passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri.
Namba zangu za mawasiliano 0698568933.
Heri ya...
Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe.
Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu watu 2100+ Kada afisa maendeleo msaidizi usaili wa kuandika kwa njia ya computer, majibu yalitoka...
Ndio hivyo tena hii ni 2025 ....
Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah.
Nyie endeleeni kutusagia kunguni, endeleeni kutukandia kila mnapotuona tukija na bahasha zetu kwenye hizo ofisi za ndugu zenu au jamaa zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.