Habari wana-JF.
Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam
Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme.
Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111).
Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
📖Mhadhara (73)✍️
Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi vigezo vya ajira (nafasi) husika. Sikuhizi undugu ndio umeshika nafasi kubwa sana kwenye suala la...
Wakuu Habari!
Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda.
Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025.
Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024.
Soma zaidi
<<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana.
Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili.
Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa.
Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
Habari,
Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo havina umuhimu mkubwa na kuzuia watu kufanya usaili ni kama kutuwekea vigingi tu tunaoomba hizo ajira...
Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu.
Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo.
Waziri wa Kilimo ndg Bashe aingilie kati haraka, MO aachilie mashamba ya chai kule Jivanjee Chivanjee Tea Estate, Tukuyu...
Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia.
Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na...
Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa
Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo.
.
Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
Hellow !!
Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,
Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo...
Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo.
1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏
2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka...
Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam .
Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira
Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira .
Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
Mbele yenu ni kijana wa kitanzania mpambanaji ninayechukia kukata tamaa, Kwani kukata tamaa ndio mwanzo wa umaskini.
Leo nimeona nishare visa tunavyokumbana navyo wagonga ulimbo hasa graduates katika kutafuta ajira rasmi hasa sisi tuliotokea kwenye familia duni ambazo ikihitajika laki moja basi...
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara
Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.