ajira

  1. John Gregory

    Mfumo wa ajira portal umekumbwa na nini?

    Wakuu vipi huko kwenu mnaweza kupata access ya ajira portal? Huku kwangu mambo yapo hivi
  2. A

    DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  3. G

    Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
  4. Ustadh tongwe

    Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  5. K

    Njia panda Ajira na utajiri wa kijini

    Mtaalamu anatoa mkataba na jini wa kuwa tajiri Pia anaweza kukupa mkataba na jini akakutafutia Ajira serikalini Kipi bora wakuu hapo
  6. Mindyou

    RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

    Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
  7. Nawashukuru Sana

    Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  8. G

    Ajira: Junior software developer

    Role Overview Gilgal Tech is seeking a passionate and talented Junior Software Developer to join our growing team. The ideal candidate will specialize in Python and web development (or full-stack development). Candidates with a background in graphic design will have an added advantage...
  9. G

    Kwako Sekretarieti ya Ajira (Mwalimu )

    Mnachofanya sio poa mpaka tunene kwa lugha au? Au mpaka tupange mstari? Toeni mwafaka wa walimu sivyo mnasomewa kurjuani ya mzee magoma.
  10. G

    Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
  11. Charlez kanumba

    Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
  12. Fazzah5x

    Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  13. Mtu na nusu

    Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  14. B

    wakuu mnisaidie hapa kuhusu uombaji wa ajira ya jeshi la uhamiaji

    nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?. mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
  15. Kyambamasimbi

    DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

    Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine? Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
  16. L

    Anaomba connection ya ajira

    Salaam wakuu. Kuna jamaa ni mtaalamu wa mitambo ya viwandani anaomba kupata sehemu ya kupiga kazi. Anauzoefu wakutosha kwani alishafanya kwa muda mrefu kwenye moja kati ya viwanda vikubwa vya sukari hapa nchini. Mwingine ni mdogo wangu wakike.Ana Bachelor of art in geography and environment...
  17. Mr nobby

    Tupeane update kuhusu ajira za uhamiaji zilizotangzwa hivi karibuni

    Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni. Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia. Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
  18. BABA-D

    Mwajiri amegoma kunilipa mshahara wa mwezi November mpaka nisaini mkataba alionipa..

    Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba wa permanent kama ku-comply na matakwa ya CRDB ambao walisema ili mwajiriwa apate mkopo katika benki...
  19. Impactinglife

    Anahitajika Mwalimu mahiri ngazi ya shahada katika somo la Jiografia na Historia

    Anahitajika Mwalimu mahiri ngazi ya shahada katika somo la Jiografia na Historia au Jiografia na kiswahili. Shule ipo Mbeya Mjini na inatoa mshahara scale ya serikali..... Kama Hauna mastery of the subject na hauko vizuri discipline wise usipoteze muda wako. Kwa mawasiliano: 0655087675.
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
Back
Top Bottom