Taharuki imezuka nchini Kenya baada ya polisi kumkamata Cyrus Kisavi Musyoka, diwani wa wadi ya Ikanga/Kyatune, Kaunti ya Kitui, akihusishwa na msururu wa visa vya wizi wa simu katika Jiji Kuu la Nairobi (CBD).
Maafisa wa Kituo cha Polisi Kamukunji walimnasa mtuhumiwa katika Mtaa wa Mfangano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.