Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote
Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti
Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
Taarifa iliyotolewa Wiki hii kutoka kwa Mmiliki wa Twitter, Bilionea #ElonMusk, mtandao huo utaanza kuzifuta akaunti zote za watumiaji ambao hawajaingia kwa zaidi ya siku 30.
Awali, Sera ya #Twitter ilikuwa na maelezo kuwa ili uweze kumiliki akaunti yako inatakiwa angalau usivuke miezi 6 bila...
Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini.
Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia.
Taarifa zako...
Hawa scamers sasa wamezidi.
Asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB na sina akaunt huko. Hii scam imekaaje wadau!?
Hawa watu kweli ni piracy programmers.👇
Hii benki ya CRDB imekuwa na unyanyasaji kwa wateja wake. Kuna hili tawi lao la Usa-River lililoko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha kuna taasisi zinapitishia mishahara ya wafanyakazi wao kupitia hili tawi. Tatizo wafanyakazi wa hili tawi hukaa na mishahara ya...
Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account).
Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI AKAUNTI " .Kulia wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora...
Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii.
Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za...
Mrejeasho.
Hawa wapuuzi wameifungua lisaa moja baada ya hii post.
Tunasafari ndefu kama Watanzia kwa hizi taasisi zetu ambazo full admns ni Watanzania wenyewe. Hatuko committed kwa kazi zetu, huduma zetu ni mbovu mno and no one cares.
Habari wakuu,
Naomba kama wewe ni mwansheria ama una...
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja.
𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼?
Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
Moja kwa moja kwenye mada.
Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi.
Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu ya features zake lakini baada ya kupigwa ban mara kwa mara nikaachana nazo nikawa natumia Whatsapp...
Bilionea Elon Musk amezifungulia akaunti za Waandishi wa Habari wa New York Times, CNN na Washington Post waliofungiwa baada ya Musk kuwashutumu kuwa walishare taarifa zake binafsi mtandaoni
Elon aliweka Kura ya Maoni kuuliza kama akaunti hizo zirejeshwe na asilimia 59 ya watu milioni 3.6...
Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano.
Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
Bilionea na mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema jukwaa hilo litakuwa likizindua 'badge' za rangi tofauti ili kuzitofautisha akaunti.
Tiki ya dhahabu kwa makampuni, tiki ya kijivu kwa serikali, bluu kwa watu binafsi na watu mashuhuri na akaunti zote zilizoidhinishwa zitathibitishwa upya kabla...
UVUMI
Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 2017 hadi 2021, Donald Trump.
Kichwa cha habari cha taarifa hiyo kinasomeka...
Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya chama dola
Akaunti ya Instagtam kwenye bio yake
Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.