Wakati barabara ya Shekilango inajengwa mimi ni mmoja wa watu walioponda wajenzi kwa jinsi walivyokuwa wanajenga.
Yaani ilikuwa vurugu mechi, mara wamechimba hapa wameacha, wamejenga hapa wameacha, wametindua huku wameacha. Nikajisemea sijawahi kuona wajenzi wabovu kama hawa na hii njia itakuwa...