Hata iweje maisha yataendelea baada uchaguzi kumalizika na bila kujali matokeo ya Uchaguzi yatakuwaje.
Wadau wote wa uchaguzi, yaani Wanasiasa, wagombea, ofisi ya msajili, Tume ya Uchaguzi, Askari, wasimamizi wa uchaguzi, wahesabu kura, mawakala na wapigakura tukumbuke muda wote kuweka akiba ya...