Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
Shikamana na Jukwaa...
Ingawa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imepiga hatua kubwa katika kuchora na kuzalisha picha za binadamu, bado kuna changamoto kadhaa katika kuonesha viungo vya mwili kwa usahihi. Hii inatokana na jinsi AI inavyojifunza kutoka kwa mamilioni ya picha lakini bila kuelewa kikamilifu kanuni za...
Geofrey Hinton anajulikana kama "GODFATHER OF AI" anatakumbusha swali la msingi, je tuko tayari kisawa sawa kwa ajili ya AI?
Sijui kama Aliacha kazi kama protest au hofu ya ukuu wa AI ambao unakuwa kwa kasi sana ila all in all hata mimi sioni mazuri mbeleni.
Mwamba anasema AI inaweza hivi...
Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo dhidi ya uhalisia ili kuepuka upotoshaji.
Majukwaa ya Uhakiki wa Taarifa kama JamiiCheck.com...
Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia, jina moja limeibuka na kutikisa ulimwengu wa Akili Bandia (AI) kwa namna isiyo ya kawaida – Lean Feng Wang. Mwanakijiji huyu kutoka M Ling, jimbo la Guangdong, China, alikuwa asiyejulikana hadi wiki chache zilizopita, lakini sasa dunia nzima...
Hebu nitoe maelezo yenye undani kuhusu akili bandia (Artificial Intelligence - AI), aina zake, na jinsi inavyofanya kazi:
1. Ufafanuzi wa Akili Bandia (AI)
Akili bandia ni uwezo wa vifaa vya kidijitali (kama kompyuta au roboti) kufanya kazi zinazohitaji akili ya binadamu. Hizi ni kama vile...
Wakuu nimekutana na hii video inayoonesha familia ikiwa juu ya Mamba na vitu vyao kwenye mto, pia inadaiwa ni huko Goma, DRC. JamiiCheck naomba mtusaidie kupata uhalisia wa video hii.
Meta imeanza kufuta maelfu ya nafasi za kazi huku kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ikichukua msimamo mkali dhidi ya wafanyakazi wanaoshindwa kufanya vizuri na kujiandaa kifedha kwa ajili ya uwekezaji mkubwa zaidi katika teknolojia ya AI mwaka mwingine. Wafanyakazi waliathiriwa barani...
Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine (Machine Learning), na akili mnemba (Artificial Intelligence). Ninatafuta fursa ya kufanya mazoezi ya kile...
Yes, kwa maana hii competition ya AI itafanya intelligence kuwa na uwezo mkubwa wa kuweza ku dis-organize na re -organize kwa maana naamini AI it evolve kuwa kitu kipya then kwa kutumia ubunifu wake itenda nje ya mipaka iliyowekewa na mwanadamu then itaset mipaka yake ambayo itakuwa ngumu sisi...
Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba.
Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
ai policy
akilimnemba
data privacy
data privacy day
digital rights
haki za kidigitali
jamiiforums
personal data protection
ulinzi taarifa binafsi
ulinzi wa faragha
"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka ikiangazia maendeleo na umuhimu wa Elimu katika kuleta maendeleo, usawa na amani.
Mwaka huu 2025...
𝐃𝐊𝐓 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐓𝐎𝐀 𝐓𝐀𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐌𝐍𝐄𝐌𝐁A 𝐊𝐈𝐏𝐈𝐍𝐃𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wana CCM kuhusu matumizi ya akili Mnemba, akisema kuwa inaweza kutumika vyema au kutumika vibaya kueneza...
Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa kama taifa linajilinda dhidi ya hatari mbalimbali zinazoweza kuibuka kwenye matumizi makubwa ya...
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi.
Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)?
Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii ili kuepuka kupotoshwa?
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza kutengeneza sera na miongozo ya matumizi ya teknolojia ya akili mnemba ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika kwa faida.
Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Lugano Kusiluka, amesema hayo leo Jumatano, Desemba 4, 2024, wakati wa kongamano la 15 la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.