Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya kisiasa, kijamii, au kiuchumi. Wanachama kama Malaria 2 hujulikana kwa michango yao yenye mtazamo...
Salaam wana JamiiCheck
Hii picha inanipa ukakasi kuitofautisha kama imetengenezwa na Akili mnemba au ni ya kweli, wataalamu wa masuala haya naomba msaada wa kupata uhalisia wa picha hii tafadhali.
Tausi Afrika Yazindua Mfumo wa Kiotomatiki wa Uchambuzi wa Kifedha kwa Kutumia Akili Bandia
Kampuni ya Tausi Afrika imeleta mfumo mpya wa uchambuzi wa kifedha uitwao MANKA, ambao unatumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI) kusaidia taasisi za mikopo.
Mfumo huu unawawezesha watoa mikopo kuchambua...
Wakati wengi wanakubali kuwa Akili Mnemba (AI) ina uwezo wa kuleta mapinduzi ya viwanda na kuboresha maisha, kuna wasiwasi unaoongezeka juu ya athari za kimaadili na usalama wa maendeleo yake ya haraka.
Tarehe 25/09/2024 itakumbukwa sana katika historia ya dunia kama siku ambayo mabadiliko...
Akili mnemba (AI) inafanya kazi kwa kutumia mifumo ya kihisabati na michakato ya kompyuta inayoweza kufuatilia na kuchambua data nyingi kwa haraka. Hapa kuna vipengele vya msingi vinavyofanya akili mnemba iweze kufanya kazi:
1. Mafunzo ya Awali (Training): AI inafundishwa kwa kutumia data...
Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji.
Hata madaktari (Medical)...
Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili kuendelea mbele: Kwanza katika akili zao, na matokeo yake, katika nyanja zote za kile wanachokiona...
AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee.
Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi.
Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana...
Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025
Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili...
UTANGULIZI
Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'.
Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
AKILI MNEMBA KATIKA TIBA (ARTIFICIAL INTELLIGENCE IN MEDICINE)
Katika kijiji kidogo cha Mwandani, kulikuwa na hospitali moja tu ambayo ilihudumia wakazi wa eneo hilo. Daktari mkuu wa hospitali, Dkt. Kisope, alikuwa mtaalamu mwenye uzoefu lakini alikabiliwa na changamoto...
Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni...
Hello Good afternoon all,
Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator inaweza kukwambia ni lini utakufa na akaongeza kuwa "it is deadly accurate..."🤗
Katika andiko lake...
Imagine a world where robots drive your taxi, diagnose your illness, and even teach your yoga class. Sounds like science fiction, right? But for developing countries, this future powered by Artificial Intelligence (AI) is fast approaching. However, with this exciting new world comes a chilling...
Ni kweli kwamba AI ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii, lakini pia inaleta changamoto na madhara.
Moja ya madhara ni kwamba inaweza kutumika vibaya katika shughuli za kihalifu, kama vile kuvunja usalama wa mtandao, udanganyifu wa kifedha, au hata kuunda silaha za...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
akilimnemba
bima ya afya kwa wote
gharama za matibabu
hifadhidata
matibabu ya kibingwa
matokeo chanya
suluhisho
takwimu za afya
tanzania
wizara ya afya
UTANGULIZI
Kuelekea Tanzania tuitakayo,
Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania.
Kama unajiuliza kuwa akili mnemba ndo ipi jamaa kadadavua hapa vizuri: Nini Maana ya AI (Akili Mnemba)
Sasa, turudi kwenye mada...
Matamshi ya chuki, propaganda za kisiasa na uongo si matatizo mapya mtandaoni, nyakati za uchaguzi kama hizi huzidisha zaidi matatizo hayo. Matumizi ya roboti, au akaunti bandia (Feki) za mitandao ya kijamii, imerahisisha zaidi kueneza habari zisizo sahihi kimakusudi, pamoja na uvumi usio sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.