Roboti zimefika... huko Pasadena, Kusini mwa California.
Mwishoni mwa Desemba 2023, CaliExpress ilifungulia Mgahawa wa kwanza kabisa duniani wenye uwezo kamili wa kujiendesha kwa kutumia AI - Artificial Intelligence (Akili Mnemba). Mteja anatakiwa kutoa oda yake mapema ili kupata huduma ya...
Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Eng. Kundo A. Mathew amesema Serikali inapanga kuanza kutoa Elimu kuhusu athari za Akili Unde (AI) kwa watumiaji wake pamoja na kuandaa Sera zinatakazosimamia Teknolojia hiyo.
Akili Mnemba ni teknolojia iliyosambaa ulimwenguni ikiwa imerahisisha kazi za binadamu kutokana na kwamba inaweza kufikiri kama binadamu. Lengo la AI ni kuweza kufanya mambo kama vile kutambua mifumo, kufanya maamuzi, na kuhukumu kama binadamu.
Akili mnemba (AI) ni seti ya teknolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.