Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia, jina moja limeibuka na kutikisa ulimwengu wa Akili Bandia (AI) kwa namna isiyo ya kawaida β Lean Feng Wang. Mwanakijiji huyu kutoka M Ling, jimbo la Guangdong, China, alikuwa asiyejulikana hadi wiki chache zilizopita, lakini sasa dunia nzima...