Mimi ni nina maswali kadhaa kuhusu hizi imani zetu hizi, naomba kwa wenye uelewa wanijibu 🙂,
1.Tunaamini Mungu anajua kila kitu , mambo yaliopita, ya sasa, na yajayo sio?, ok ivi ni kwanini wakati wa uumbaji wake aliamua kumuumba lusifa ambaye baade aligeuka kuwa shetani, je hakujua kuwa hiki...