Ulishawahi kujiuliza, kwa nini ukienda dukani unaweza ukakuta kitu cha shilingi 50, 100, 200 n.k?
Je hivyo vitu vinatoka wapi, ni kiwandani au ni mtu anajitengenezea? Mfano kuna biskuti, pipi, jojo, nyembe, pulizo n.k
Ukipata jibu, utagundua vingine vinatoka viwandani, na hivyo viwanda...