akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
  2. sanalii

    Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

    Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
  3. M

    Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  4. G

    Ukikuta begi limetelekezwa limejaa maburungutu ya pesa liache kama lilivyo, usijizidi akili kujiona mjanja ukimbie nalo

    Begi ukilikuta njiani kuna uwezekano mkubwa wa uhalifu kuhusika, aidha limetupwa wakati majambazi yakimkimbiza mwenye nalo, majambazi waliiba ila wakalitupa kupoteza ushahidi hasa wakiwa suspects, wezi wameiba pesa na ghafla wanaona kuna ukaguzi barabarani, n.k. Maisha ya hapo zamani mtu...
  5. OLS

    Akili za kibiashara kwa Watanzania ni za kutafuta, ndio sababu tuna Watanzania wachache matajiri

    Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi. Agha...
  6. Under-cover

    Historia ya Grace na Mugabe

    Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mugabe akampa mimba 2. Ikabidi ndoa ya Grace na Mwanajeshi Ivunjike. Mugabe akiwa na Miaka 72 akamuoa Grace mwenye Miaka 31. Mugabe alimzidi Grace miaka 41.
  7. GENTAMYCINE

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
  8. Titho Philemon

    Ndoa siyo umri, ndoa ni ukomavu wa akili unatokana na malezi

    Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji. Baada ya tathmini fupi nimekuja kugundua kuwa suala la malezi lina nafasi kubwa katika ndoa kuliko umri...
  9. DR HAYA LAND

    Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

    Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi. Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe. Ajira umekuwa...
  10. GENTAMYCINE

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  11. Msanii

    Vita Kuu ya Tatu (WW3) ipo dhahiri mlangoni, Tuwe na akili ili tuishi

    Urusi ilipovamia Ukraine kutokana na uchokozi (indirect) wa US akishirikiana na NATO ilikuwa ndiyo curtain-raiser, Baadaye tukaona Vita ya Sudan na Juba vimepambamoto huku taarifa za madhila zikidhibitiwa kwa kiwango kikubwa na vyombo vya kimataifa na serikali za Afrika... Tumeona Afrika...
  12. M

    Wazo lenye akili: Bashe ajiuzuru ni kwa kuendesha ofisi ya umma kwa misingi ya dini

    Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu? Hili taifa ni secular. Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani? Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje? Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
  13. Pang Fung Mi

    DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

    Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama jamiiforums. Ukipasua pipa sisi tunawasha kiberiti. Moto ni moto na kiberiti ni kiberiti, na pipa...
  14. Chizi Maarifa

    Kwa jambo hili niliwaunga Mkono TCRA . Nchi hii wenye akili ni wachache sana

    Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme. Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
  15. Mhaya

    Siku hizi teknolojia inasoma akili za watu kuandaa matangazo ya mitandaoni

    Siku ya leo Teknolojia imenishangaza kidogo, nimewaza akilini kuhusu vikombe vile vidogo kwa kufunika na kutembea navyo, nikamuuliza jirani yangu pembeni yangu kuhusu lini anaenda kariakoo nimuagize, hata swali lenyewe halikuwa specific, nimesema tu "Lini unaenda kariakoo nikuagize vile vikombe...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  17. Chachu Ombara

    Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  18. P

    Chalamila: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua

    Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado...
  19. Down To Earth

    Alizamia South Africa toka mwaka 1998, amerukwa na akili, sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania

    Mtanzania Anaitwa KARIM HUSSEIN LIMO Huyo Aliesimama Katikati Amezaliwa 1968 Elimu Amepata Shule Ya Msingi Maweni Baba Yake Anaitwa HUSSEIN ABEID LIMO Mama Yake Anaitwa MARIAM MASHIRIMA Kwao Ni Himo, Moshi Aliondoka Tanzania Kuelekea South Africa 1998 Miaka Yoote Hakuwahi Kurudi Tanzania Wala...
  20. Lord denning

    Kama CHADEMA wana akili wangejikita kwenye Katiba

    Nchi yetu ina matatizo ya aina 2 1. Matatizo ya kimfumo ambayo haya chanzo kikuu ni Katiba 2. Matatizo ya kiasili ambayo haya msingi wake ni Ujinga na mada hii ni pana sana. Ili tuweze kupambana na matatizo ya kiasili ni muhimu na vizuri turekebishe matatizo yetu ya kimfumo ambayo msingi wake...
Back
Top Bottom