akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. Nawashukuru Sana

    Akili za mtu mweusi zinashangaza , unanunua jengo la Billion 1.6 baada ya hapo unasema hauna hela ya uchaguzi!.

    Chama Chadema kuna watu waliokosa maono . Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him. Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi . Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Magufuli alitumia kirungu na buti kuua upinzani akashindwa , Samia anatumia akili kuua upinzani. Samia atafanikiwa

    Magufuli alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuweza kuua upinzani lakini akatumia nguvu ndio maana yake akashindwa. Samia kaingia kwenye mfumo katika kipindi ambacho upinzani/wapinzani wameshakuwa sugu . Kipindi ambacho wapinzani waliishiwa hofu Katumia akili kidogo tu anakaribia kuummaliza...
  3. Nikola24

    Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
  4. mkuuwakaya

    Lissu ana akili ila sio ya siasa na uongozi

    Nasema hivi Chama hawezi achiwa Lissu. Mimi namkubali sana Lissu lakini sio aachiwe Chama. Hapo NO kabisa aisee. Staili ya kuchafua wengine ili upate uhalali wa kuwa mwenyekiti hapo hapana. Kwenye sanduku la kura huyu tayari ameshashindwa. Nasema hivi kama angekuja kwa staili ya kutulia...
  5. B

    Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

    Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi. Aliniunganisha na watu wengi Baada ya mama kufariki wale watu walipotea Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo...
  6. R

    Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

    Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu. Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote. Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi! Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA. Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani All these boil down to one cause: Kuna nati fulani...
  7. Shooter Again

    Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

    Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
  8. FK21

    Ni akili gani ex kukuambia kuwa sasa hivi amekuwa malaya?

    I guess nilikuwa na data na mwehu Baada ya kutokuonana mwaka jana alikuja location niliyopo then akaomba tuonane tukaonana Kwenye mazungumzo alitumia muda mwingi kusema kuwa kwamba saivi AMEKUWA MALAYA yeyote mwenye pesa anapita nae Pia alinipa simu yake akidai nimnunulie Salio bila kutoa...
  9. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  10. Manfried

    Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  11. Shooter Again

    Hivi ili uwe muokota makopo lazima kichwani ziwe zimepungua?

    Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
  12. Rozela

    Miradi ya CCM iliyofanikiwa kuteka akili za wanaojiita great thinkers

    NCCR, TLP, CUF, CHADEMA, ACT n.k Siku wananchi wakijua umuhimu wa hii miradi kwa chama cha mapinduzi itakuwa mwanzo mzuri wa kujikomboa.
  13. Shooter Again

    Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha...
  14. NostradamusEstrademe

    Serikali kuwapima afya ya akili waajiriwa wapya

    chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024 Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni. kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa? Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati...
  15. SYLLOGIST!

    Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ujembe huu unawalenga na kuwahusu wale wote wenye akili timamu tu na si vinginevyo

    Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu. Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei Utaona...
  17. Hypersonic WMD

    Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu

    Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu. Kwaiyo ukiona una mpenz kiruka njia jua yaliyomo hayamo!
  18. Mindyou

    Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  19. H

    Jinsi Akili Bandia Inavyoweza Kuchochea maendeleo ya Kasi Barani Afrika

    Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria au Rwanda zinagundua wagonjwa haraka na kwa usahihi zaidi, yote haya shukrani kwa akili bandia...
  20. M

    Ni akili fupi kwamba Lissu atakipasua CHADEMA

    Kwa nini pale tu Lissu alipotangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndipo anapoonekana anataka/anakipasua chama? Yeye ni makamu Mwenyekiti, nani alimchagua kuwa makamu Mwenyekiti ili aje kukipasua chama? Watu waache unafiki.
Back
Top Bottom