Leo umehitimishwa uongoze wa Freeman Mbowe, baada ya kukaa kwenye nafasi ya juu ya chama kwa takribani miaka 21.
Miaka 21 ndani ya uongozi wa chama cha siasa cha upinzani, si jambo rahisi. Hiyo ni miaka ya mara jela, mara mahakamani, mara kuharibiwa biashara, mara kufungiwa account, na mengine...