Kabla ya kuachwa mara nyingi kunakua na vijitabia au viashiria ambavyo wenza wetu hutuonyesha ila kwa vile wanasema mapenzi ni upofu tunakua hatuvioni viashiria hivyo. Saa nyingine tunaviona viashiria vyote ila inakua ngumu kukubaliana na ukweli wa kuwa mwezangu anataka kuend uhusiano.
Kwa...
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania
Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania
Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania
Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini
Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye hoja
Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi
Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu...
Habari za mda huu walimwengu?
Nikiwa kama kijana mwenzenu Leo hii napenda tudiscuss jambo moja muhimu,tukiwa kama vijana tunafeli wapi na tunajisahau vipi?vijana ni chumvi ya dunia bila sisi dunia haitasonga wala watu hawataongezeka,maana sisi ndo wafanya kazi na wazalishaji wa watu duniani...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekuja na mada kama ifuatavyo
Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546)
walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia pamoja na kuidhinisha vitabu 73 - 46 katika Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya - ambayo...
Utulivu wa nafsi ni mafanikio
Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nikisema tafiti za kiroho namanisha wenye uwezo wa kuona vitu wanaona jinsi...
UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA
1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni,
Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji, wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa.
Ulikuwa mjadala wenye mabishano pia. Walitajwa watu maarufu wengi kama mfano wa watu wenye mafanikio.
Walitajwa ...
Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa.
Ni jambo la Hatari kufikiria mtu aliyekaa kimyaa kuwa ni Mjinga. Watu wanaonufaika pakubwa na chama na Serikali ni familia...
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni 90 kwaajili ya Matengenezo hayo.
Mhe. Jafari Chege amesisitiza wananchi wa Kijiji cha Busanga Kata...
utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye changamoto ya usikivu.
Vituo vingi hapa nchini havitoi hiyo huduma na hii ni kutowatendea haki ya msingi...
Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi.
Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo kikubwa ni maokoto.
1. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
Nimesoma bibilia ya agano la kale mwanzo:2:15 mungu anamlaani nyoka kwa matendo yake na alijua kuwa ni mwerevu kuliko wanyama wote hivyo naweza kuchukulia maana hyo kwenye kutambua alama ya nyoka kuwa ni mdudu mwenye sumu kali na ukitaka kumuua tafuta kichwa.
Je swali langu nyuka amepewa sifa...
Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi?
Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa eti watafika fainali, sasa sijui wangeongoza kundi mbele ya mabingwa wa Afrika wangepandwa na mizuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.