Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump
Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa
Ila tukio la kuvunja moyo ni beyonce kushinda tuzo la album bora la music wa country 🤣🤣
Inamaana wamarekan...
Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje?
Ndipo napata jibu kuwa
"Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika"
Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
Albamu ya Apollo ya Fireboy DML: Safari ya Upekee katika Muziki wa Afro-Beatz
Katika ulimwengu wa muziki wa Afro-beat, albamu ya Apollo ya Fireboy DML ni mfano halisi wa ubunifu wa kisanaa na urithi wa kitamaduni. Iliyoachiliwa mnamo Agosti 2020, Apollo inasimama kama ushahidi wa uwezo wa...
ZOTE ZA AKILI.
"ZOTE ZA AKILI" ni project ama jina la Album iliyotoka Mwaka 2004, chini ya Usimamizi wa Akili the Brain ambae alikuwa ni mmliki , producer & msanii kutoka studio za " Akili Records " kwa usaindizi wa usambazaji wa kampuni inaitwa" F.K. Mitha & Sons Kinos Brothers Wananchi...
MFUMO WA UUZAJI WA ALBUM AMA KAZI ZA WASANII..
Wasanii wa Tanzania wana sababu nyingi sana za kwanini hawatoi album. Baadhi ya sababu kama kufa kwa mfumo wa uuzaji wa album uliokuwa ukifanywa na wahindi enzi za kanda za redio cassette na urudufuaji usio halali wa kazi zao unaofanywa na...
ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU
https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl
"Machozi Jasho na Damu..
ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania...
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
Habari zenu Wana jf wote.
Hii ni kwa wale wapenzi wa rock music bendi maarufu ya rock iliyosumbua miaka ya 80 bon Jovi Leo ijumaa wameachia album yenye nyimbo 12. Album hiyo inajulikana Kama forever.
Bon Jovi walitamba na nyimbo zao maarufu LIVIN ON PRAYER, ALWAYS, ITS MY LIFE na zinginezo...
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na...
Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA.
Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele.
Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
SOGGY DOGGY ANTER.
Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy.
Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa page hii ya "ukwaju wa kitambo"
Mazungumzo hayo ni kama ifuatavyo:
Ukwaju wa Kitambo :-
brother...
Young killer msodoki mwana hip hop asiye na swaga kabisa. Siku ya tarehe 2/12/2023 Ali achia album yake inayo kwenda kwa jina la too much amazing, yenye mikwaju 14.
Nikaamua kujipa muda ili ni isikilize, aisee msodoki ni moto, kuanzia mkwaju wa kwanza, Hadi wa mwisho yote ni bala tu.
']
Play...
D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.
Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo...
Kati ya album ambayo unatakiwa kuisikiliza ukiwa na Mtoto mzuri Ghetto nakushauri uweke album ya Ed Sheeran -Divide umo ndani Albino kaimba mapenzi balaa yaani Mtoto atajikuta karopoka I love you na kapanda kitandani bila Kutumia nguvu.
Umo ndani Kuna mikwaju hatari sana kama vile
1. Perfect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.