Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile;
Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album!
Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
Kwahiyo hakuna Album iliyowahi kufanya mauzo kuizidi Thriller ya Michael Jackson? Na Thriller ni ya kitambo miaka ya 1982. Nawaza zimetoka Album ngapi kali lakini wapi?
Za kina Ed Sheeran, Taylor Swift, The Weekend na wakali kibao lakini hazijaifikia Album ya MJ kwa mauzo? Tuzo 8 usiku mmoja...
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri.
Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya nimesikitika sana.
Inaonesha wazi kuwa fikra na malengo yake kupitia album hii ni mazuri lakini...
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M
3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M
4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
#TBT
Album gani ya Bongo hasa zile za kitambo ilikuwa kali kiasi cha kushindwa kuskip hata ngoma moja. Najua Album zilikuwa zimeenea sana..
Mimi Album ya A.K.A Mimi ya Albert Magwair kwangu mpaka leo tamu. Nambie kuhusu ww mdau?
#forgive Me.
Rapa Kendrick Lamar ameandikisha nyimbo mpya 30 ktk taasisi ya kusimamia haki za kazi za sanaa za wasanii nchini Marekani ikiwa ni matayarisho ya kutoa album yake ya mwisho chini ya lebo ya TDE [Top Dawg Entertainment]. Nyimbo hizo ni pamoja na 'Feel For You', 'End of the Line', 'Erika Kane'...
Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati marehemu mama yake na Kanye West.
Mkali huyo mzaliwa wa Atlanta aliweza kuandaa sherehe ya...
Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz.
Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
Dj Khaled kwa sasa anafanya vizuri sana na Album yake mpya ya Khaled Khaled baada ya ile Father of Asad kufanya vizuri pia..
Machache tu Nliyoyaona kwenye ile Album..
Ni Mimi tu nilieona Jay Z kafunikwa na Nas kwenye Sorry Not Sorry au kuna mwingine kaona?
Album yote moto nani kamuona...
Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza.
Tukae mkao wa kula.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.