Siku ya leo nimeamka na mzuka wa rhumba sasa katika pitia pitia za wasanii wakongo nikapitia album hii mpya ya ferre gola iitwayo Dynastie ii vol. 1 aliyotoa mwaka huu mwezi oktoba.
Aisee ferre gola anajua balaa sio kwa hii mikwaju iliyohumu kama huu wa Visas ni balaah.
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.
Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi.
Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa
1.RAY C
2.Q-CHIEF
3.BANANA ZORRO
4.LADY JAYDEE
5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI KITU GANI NZIMA
6.MR NICE ZOTE
HATA KAMA UNAZO ZINGINE ZA ZAMANI SIO MBAYA UKA SHARE PIA.
Album zake ni 1.Tokooos
2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7.
Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna...
Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba
Hizi ndio album bora 25 za miaka 23
1.Tid-sauti ya dhahabu-2001
2.Alikiba-cinderella-2007
3. Lady jay dee - Binti 2003
4. Bushoke -Barua 2004
5.Mb dogg- Si uliniambia 2006
6.Marlaw -Bembeleza 2007
7.Diamond- Kamwambie 2010
8. prince Dully sykes...
Timu ya Rapa #AKA kwa kushirikiana na Kampuni za Kusimamia Kazi za Sanaa Sony Music Entertainment na The T Effect zimepata baraka za familia ya #JarrydForbes kuachia albam kama alivyopanga mwenyewe.
Mkurugenzi Mtendaji wa #SonyMusicAfrica, Sean Watson amesema “Mioyo yetu imevunjika, tumepoteza...
Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Habari wanajamii forums,
Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie.
Asante.
Kwa wale wapenzi na washabiki wanaomkubali ferre gola lepadre, ambao wameweza kusikiliza album yake yote ya dynastie yenye nyimbo 18. Mtakua mmeona jamaa alivyo na uwezo mkubwa hasa kwenye nyimbo ga toc toc aliyomshirikisha josey, ndio nikasema hatari sana huyu kiumbe hafai kabisa. Hivyo wakuu...
Salaam wazee wa kambi.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka.
1. Muongo mbeya anauaa
2. Nyumba ya jirani yetu inateketea moto twende tukazime
3. Shime shime jaman, shimeshime kuomba tukazanee kuomba
4. Nakazi halina aibuu...
Rapper kutoka Toronto, Canada, Drake, pamoja na rapper kutoka Atlanta, Georgia, 21 Savage wameshirikiana kuandaa album inayoenda kwa jina la "Her Loss." Album hii ilitarajiwa kuachiwa hewani mnamo 28-11-2022, lakini kutokana na maandalizi yaliokuwa wakiendelea, iliwalazimu kusogeza muda wa...
Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo
"Tuna-launch rasmi album na itakuwa weekend ndefu kidogo kwa sababu tutaanzia hapa Johari Rotana, itakuwa invitees only...
Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album.
yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo ya 2030 " MZIKI UMEJAA STRESS KILA NYUMBA INA MSANII " ayo maneno yalikuwa yapo sahihi na ndo...
Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii kinda sijaangushwa kabisa. Album yake inaitwa BOY ALONE na imetoka leo hii.
Nilichofurahishwa sana...
Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..."
Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati.
Sidhani kama anaweza kukaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.