album

An album is a collection of audio recordings issued as a collection on compact disc (CD), vinyl, audio tape, or another medium. Albums of recorded sound were developed in the early 20th century as individual 78-rpm records collected in a bound book resembling a photograph album; this format evolved after 1948 into single vinyl LP records played at 33+1⁄3 rpm.
The album was the dominant form of recorded music expression and consumption from the mid-1960s to the early 21st century, a period known as the album era. Vinyl LPs are still issued, though album sales in the 21st-century have mostly focused on CD and MP3 formats. The 8-track tape was the first tape format widely used alongside vinyl from 1965 until being phased out by 1983 and was gradually supplanted by the compact cassette during the 1970s and early 1980s; the popularity of the cassette reached its peak during the late 1980s, sharply declined during the 1990s and had largely disappeared during the first decade of the 2000s.
Most albums are recorded in a studio, although they may also be recorded in a concert venue, at home, in the field, or a mix of places. The time frame for completely recording an album varies between a few hours to several years. This process usually requires several takes with different parts recorded separately, and then brought or "mixed" together. Recordings that are done in one take without overdubbing are termed "live", even when done in a studio. Studios are built to absorb sound, eliminating reverberation, to assist in mixing different takes; other locations, such as concert venues and some "live rooms", have reverberation, which creates a "live" sound. Recordings, including live, may contain editing, sound effects, voice adjustments, etc. With modern recording technology, artists can be recorded in separate rooms or at separate times while listening to the other parts using headphones; with each part recorded as a separate track.
Album covers and liner notes are used, and sometimes additional information is provided, such as analysis of the recording, and lyrics or librettos. Historically, the term "album" was applied to a collection of various items housed in a book format. In musical usage the word was used for collections of short pieces of printed music from the early nineteenth century. Later, collections of related 78rpm records were bundled in book-like albums (one side of a 78 rpm record could hold only about 3.5 minutes of sound). When long-playing records were introduced, a collection of pieces or songs on a single record was called an "album"; the word was extended to other recording media such as compact disc, MiniDisc, Compact audio cassette, 8-track tape and digital albums as they were introduced.

View More On Wikipedia.org
  1. Eti beyonce ameshinda tuzo ya album bora ya music wa county!!!!!!!!

    Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa Ila tukio la kuvunja moyo ni beyonce kushinda tuzo la album bora la music wa country 🤣🤣 Inamaana wamarekan...
  2. Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  3. Mapinduzi ya Michael Jackson kupitia album ya kihistoria ya "Thriller"

    Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
  4. F

    Katika Album ya Zuchu "Peace and Money" nyimbo ipi umekuibali?

    Kwa mim nimeipend hujanizidi feat dvoice na makonzi Wew je umetokea kuipenda nyimbo ipi
  5. Rayvanny katoa album kali sana

    Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
  6. Apollo: Album ya Fireboy DML yenye upekee wa aina yake

    Albamu ya Apollo ya Fireboy DML: Safari ya Upekee katika Muziki wa Afro-Beatz Katika ulimwengu wa muziki wa Afro-beat, albamu ya Apollo ya Fireboy DML ni mfano halisi wa ubunifu wa kisanaa na urithi wa kitamaduni. Iliyoachiliwa mnamo Agosti 2020, Apollo inasimama kama ushahidi wa uwezo wa...
  7. Album ya Mike Tee "Zote za Akili"

    ZOTE ZA AKILI. "ZOTE ZA AKILI" ni project ama jina la Album iliyotoka Mwaka 2004, chini ya Usimamizi wa Akili the Brain ambae alikuwa ni mmliki , producer & msanii kutoka studio za " Akili Records " kwa usaindizi wa usambazaji wa kampuni inaitwa" F.K. Mitha & Sons Kinos Brothers Wananchi...
  8. Wasanii tunahitaji album

    MFUMO WA UUZAJI WA ALBUM AMA KAZI ZA WASANII.. Wasanii wa Tanzania wana sababu nyingi sana za kwanini hawatoi album. Baadhi ya sababu kama kufa kwa mfumo wa uuzaji wa album uliokuwa ukifanywa na wahindi enzi za kanda za redio cassette na urudufuaji usio halali wa kazi zao unaofanywa na...
  9. Hevy weight Mc Professor Jay with "Machozi, jasho na damu album

    ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl "Machozi Jasho na Damu.. ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania...
  10. Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  11. Bon jovi waachia album mpya

    Habari zenu Wana jf wote. Hii ni kwa wale wapenzi wa rock music bendi maarufu ya rock iliyosumbua miaka ya 80 bon Jovi Leo ijumaa wameachia album yenye nyimbo 12. Album hiyo inajulikana Kama forever. Bon Jovi walitamba na nyimbo zao maarufu LIVIN ON PRAYER, ALWAYS, ITS MY LIFE na zinginezo...
  12. Harmonize avunja record ya dunia ya kuachia Album inayosifia tu Mamlaka

    Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na...
  13. Mwamposa ahudhuria uzinduzi wa Album ya Harmonize

    Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
  14. Album ya Mkuki Moyoni ya Afande Sele

    AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA. Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele. Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
  15. Bongo new york ( album ya soggy doggy)

    SOGGY DOGGY ANTER. Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy. Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa page hii ya "ukwaju wa kitambo" Mazungumzo hayo ni kama ifuatavyo: Ukwaju wa Kitambo :- brother...
  16. Album ya Too Much kutoka kwa Young Killer Msodoki ni zaidi ya hatari!

    Young killer msodoki mwana hip hop asiye na swaga kabisa. Siku ya tarehe 2/12/2023 Ali achia album yake inayo kwenda kwa jina la too much amazing, yenye mikwaju 14. Nikaamua kujipa muda ili ni isikilize, aisee msodoki ni moto, kuanzia mkwaju wa kwanza, Hadi wa mwisho yote ni bala tu. '] Play...
  17. Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
  18. Majani kaachia album, wimbo gani mkali?

    Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo...
  19. Album battle

    Album ya Feroouz SAFARI na album ya Daz Baba ELIMU DUNIA. IPI ILIKUWA HATARI ZAIDI??
  20. Album kali ya kusikiliza ukiwa na Mpenzi wako room au ghetto

    Kati ya album ambayo unatakiwa kuisikiliza ukiwa na Mtoto mzuri Ghetto nakushauri uweke album ya Ed Sheeran -Divide umo ndani Albino kaimba mapenzi balaa yaani Mtoto atajikuta karopoka I love you na kapanda kitandani bila Kutumia nguvu. Umo ndani Kuna mikwaju hatari sana kama vile 1. Perfect...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…