ali kamwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Haji Manara inakuwaje leo umekuwa mzungumzaji Mkuu kwa kilichotokea na siyo Ali Kamwe wala Hersi Said au hata wana Yanga Waandamizi wenyewe?

    Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yakitolewa Wiki ijayo au baadae basi Uongozi wa Yanga SC ukurudishe Wewe katika Usemaji na siyo...
  2. Waufukweni

    Ali Kamwe adai taarifa za kufungiwa ni tetesi tu!

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo. Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
  3. C

    Ally Kamwe unasababisha baba yako ahojiwe mitandaoni na watu kumdhalilisha kwenye comments

    Asee hii tabia ya vivulana vya siku hizi,unaweza kukuta mtu anaonekana msomi kabisa,lakini anaamua kumdhalilisha baba yake mitandaoni. Wewe mtoto wa kiume unanunuaje ugonvi wa mama dhidi ya baba yako? Nimekudharau sana Ally Kamwe kumsababishia baba yako atukanwe mitandaoni kwamba alikimbia...
  4. LICHADI

    Ali Kamwe kosa la kwaza ulilianzia hapa

    1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi 2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea...
  5. GENTAMYCINE

    Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  6. Pdidy

    Kama adhabu ya Ali Kamwe ni miaka miwili, Kamati ya Nidhamu haina nidhamu wala maadili. Mmetia aibu taarifa kutoka nje kabla hamjaweka wazi

    Naangalia channel tena. Mchambuzi mmoja anasema kama kweli adhabu ya Ali Kamwe itakuja rasmi miaka miwili basi hii kamati haina nidhamu, Maadili na Hekima. Haiwezekani kamati hawajatangaza rasmi adhabu lakini taarifa imeshavuja Nje. Hili suala TFF mkajitathimini, mkakajiangalie madhaifu yenu...
  7. Pdidy

    Ali kamwe shujaa WA soka 2025.…soka la KUPANGA matokeo lipingwe hadharan MSIOGOPE kuwambia ukweli..MARUFUKU KUPANGA MECHI NYIE MAREFA TUNAWAONYA

    TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE UKWELI UKO WAZI MECHI ALIZOCHEZA SIMBA ZILITIA AIBU MPAKA WATANZANIA WAKAAMKA NDIPO UKAONA MAREFA...
  8. upupu255

    Dominick Salamba apewe kitengo cha Usemaji Yanga baada ya rungu la TFF kwa Ali Kamwe

    wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri klabu yake pendwa. Soma: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
  9. ngara23

    Yanga tuwe imara, TFF inawaandalia ubingwa Simba Kwa kuinyongonyeza Yanga

    TFF wamejipanga Simba awe bingwa mbele ya Yanga imara TFF Leo wametumika kamati zake kumfungia Ally Kamwe miaka 2 kutokujihusisha na soccer Hili ni jambo baya na uhuni wa wazi, Ahmed Ally aliyetamka kuwa adui wa Simba ni Yanga akiachwa huru kuzidi kuzua taharuki Kuelekea derby TFF inamfungia...
  10. Waufukweni

    Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  11. Waufukweni

    Kesi ya maadili inayowakabili Ali Kamwe na Ahmedy Ally yasogezwa mbele na TFF

    Kesi ya Ahmed Ally na Ally Kamwe iliyowapeleka kuitwa kamati ya Maadili ya shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) imepelekwa mbele mpaka hapo kesho. === Mapema leo, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote wameitwa kwenye...
  12. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  13. Waufukweni

    VIDEO: Wachezaji wa Yanga na Ali Kamwe kwenye party ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto

    Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto. Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
  14. Waufukweni

    Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira

    Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya...
  15. Waufukweni

    Kamwe: Ahmed Ally anaumia na Sead Ramović kama tumempa kazi ya kumsongea Ugali

    Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe "Ahmed Ally anaomba usiku na mchana kocha wetu afukuzwe. Tangu jana nimemuona akifanya Media Tour kwenye vyombo mbalimbali vya habari, lakini yeye ndiye anayetakiwa afukuzwe kwenye mpira wetu." "Mmesahau miaka miwili iliyopita aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa...
  16. Waufukweni

    Shabiki wa Simba apigwa mbele ya Ali Kamwe, Yanga na shabiki wachukuliwe hatua kali kwa hili

    Tukio la kusikitisha limetokea baada ya mechi ya Yanga SC vs MC Alger ambapo shabiki wa Simba alipigwa na mtu wa Yanga mbele ya Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, wakati wa mahojiano na Crown Media. Pia, Soma: FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025...
  17. Manyanza

    Ali Kamwe ataweza kushindana na Sandaland na Azam FC Mahakamani?

    Mpaka SASA Kamwe anadiwa bilioni kumi na nne; Huyu jamaa ataweza kweli kushindana na Sandaland na Azam mahakamani? Azam FC imempatia taarifa rasmi Afisa Habari wa Yanga SC, Haji Ally Kamwe, kudai fidia ya TZS 10,000,000,000 kwa tuhuma za kuichafua klabu hiyo kwa madai ya kuzima taa uwanjani...
  18. mdukuzi

    Nimefurahi sana Ali Kamwe na Ahmed Allli kutaka kushitakiwa,waligeuza soccer kuwa mchezo wa kijinga,vyeo vyao vifutwe

    Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi. Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji. Sasa nasikia Alli kamwe Azam nao wanataka bilioni 10 kwa kauli yake kuwa Dube kila akikaribia goli wanazima...
  19. pesakilakitu

    Ali Kamwe naye atolewa mzobe mzobe na "makomandoo" asiongee na wanahabari

    Ama kweli siku ya kufa nyani...hawa makomandoo inaelekea wana nguvu sana kushinda hata uongozi wa Yanga.. Ali kamwe tunajua sote ni msemaji wa timu ya Yanga na ni jambo la kawaida kabisa kila kabla na baada ya mechi lazima ajitokeze ili aweze kuzungumzia mchezo ulikuaje. Sasa katika hali ya...
  20. Li ngunda ngali

    Kisiasa huwezi ukampuuza Haji Manara na ukamkumbatia Ali Kamwe na ukafanikiwa

    Haji Manara ni binadamu mwenye connection na watu wengi wafanya siasa na wasio wafanya siasa. Kwalo, inatosha kukupa tija kwa lolote utakalo lifanikiwe. Bahati mbaya yupo kijana kwa kujulikana ghafla na kupata vi nafasi fulani huko Duniani imempelekea kumwona gwiji wa propaganda Haji Manara ni...
Back
Top Bottom