Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
“Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na...
Wadau je ni kweli Ali Kamwe alizuiwa kuingia uwanjani siku ya wiki ya Mwananchi kwa shinikizo la watu kadhaa ndani ya Yanga?
Maana ishu hii imekuwa kubwa sana ikizungumzwa naomba tuizungumze pamoja kumuhusu huyu Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga SC Klabu kubwa Afrika kwa sasa.
Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025.
Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi?
Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu.
Baada ya Ally Kamwe kutangaza kujiuzulu, wanayanga walijiapiza kwamba, kamwe Ally Kamwe hataondoka Yanga. Mwangwi huo...
Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.
Uamuzi huo wa kumrejesha umefanywa na Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji baada ya Kamwe kueleza changamoto...
Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga
Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi yake usiungaishwe na thread zingine..
Taarifa iliyopo sasa
A Good dancer must know when to Leave a...
Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
Katika ulimwengu wa michezo, hususan soka, uongozi na mawasiliano ni sehemu muhimu sana ya mafanikio ya klabu. Klabu ya Yanga, moja ya klabu kubwa na yenye historia ndefu nchini Tanzania, hivi karibuni imejikuta kwenye utata kati ya msemaji wake wa zamani Haji Manara na msemaji aliyopo, Ali...
DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari.
“Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
Uzi unajieleza wenyewe
Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta...
Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
Akihojiwa na Youtube TV ya S500 TV, Mzee Magoma ameeleza mengi kujibu hoja za uongozi wa Yanga, na mojawapo ni kuweka wazi kuwa Ali Kamwe (msemaji wa Yanga) ni shabiki wa Simba na alilijua hilo zamani tangu Kamwe akiwa mdogo.
Pia amesema Haji Manara yeye hilo liko wazi, na kuongeza wengine...
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.
1. Pre season vs Augsburg fc
Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo busy na mechi ya Kaizer Chiefs ajui hata lini team itaenda South Africa for that match.
In short...
Kwako Rais wa TFF,
Shikamoo popote ulipo.
Nichukue muda wangu nisikuchoshe sana, hapa nchini kumekuwa na aina kadhaa za wasemaji wa mpira.
1. Wasemaji viherere.
2.Wasemaji wapiga domo
3.Wasemaji waongo
4.Wasemaji vichekesho
5.Wasemaji waimba taarabu
6.Wasemaji wasomi wenye busara
Ndugu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.