Ulimi uliuponza mdogo. Ali Kamwe ulisema mechi ni leo, kesho ni siku ya kupiga kura. Sawa basi kesho tuwahi asubuhi. Ila usisahau kugeuka nyuma maana Ibenge hajawaacha yuko sako kwa bako.
Kwa Yanga hii ikipata goli hata moja basi Israel itashinda vita huko Ghaza.
Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea.
"Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi kwa maslahi ya furaha ya wana Yanga."
"Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta...
"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu.
Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.
Soma, Pia: Gamondi hana...
Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam..
https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno.
Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa
Karibuni mafai
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa.
Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga.
Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni kidigital na kurahisisha michakato ya ununuzi pamoja na kuondoa Janja janja katika ununuzi wa UMMA.
PPRA
“Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi
Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA.
Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza...
“Simba kilichobadilika ni hizi jezi. Simba hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ile iliyopita. Simba iliyopita ilikuwa na wachezaji ambao mnasema wameshazeeka lakini wana uzoefu ambayo walikuwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mechi” Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC
Je Ali Kamwe Yuko sahihi....au...
“Siku ya Mwananchi Uwanja Tulikabidhiwa saa 6 usiku, kama ingekuwa simba ndio wamekabidhiwa ule uwanja muda huo asubuh kila mtu angeshika kichwa, wangefanya mambo ya hovyo kwasababu wana maboss wengi watendaji wachache.
“Ilivyofika saa 6 usiku kila mtu alishika eneo lakini hadi saa 12 asubuh...
Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga
Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe?
Ubaya Ubaya tu.
Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa...
Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wakati rangi nyeupe ni kawaida kwa jezi za ugenini za Simba, uamuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.