Ally Saleh Kiba (born 1986), known by his stage name Alikiba is a Tanzanian singer, songwriter and footballer. He is the owner of Kings Music label. Ali Kiba released his album Cinderella which broke record as the best selling album in East African countries including Tanzania, Kenya and Uganda. He is best known for his hit songs Mwana, Aje, Chekecha Cheketua, Cinderella, Nakshi Mrembo, Usiniseme, Dushelele, Single Boy with Lady Jaydee, Mapenzi Yana Run Dunia and Macmuga. He also collaborated with R. Kelly and other African musicians on the One8 project. In 2017 he became the director of Rockstar4000.
Following his return after a silence of three years, he released the singles "Mwana" and "Chekecha". He won six awards at the 2015 Tanzania Music Awards and broke the record on Mkito.com for the most downloaded song of 2015.
Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia.
Sasa bhana hii ni short...
Amina Khalef, mke aliyeachana na mwanamuziki maarufu wa Bongo, Ali Kiba amemchukulia hatua za kisheria mwimbaji Diamond Platnumz katika siku chache zilizopita.
Hii ni kutokana na matamshi ya hivi majuzi ambayo msanii huyo wa 'Zuwena' aliyatoa wakati wa majibizano makali mtandaoni na Alikiba...
Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja.
Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini.
Miaka...
Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa
Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
Ali Kiba kaanza kuimba zamani sana aisee, miaka ya 2006 jamaa aliwahi kupewa milioni 200 kwa mauzo ya kaseti na cd zake, hio milioni 200 ya enzi hizo naweza kusema ni kama milioni 600 ya sasa.
Hakuishia hapo tu aliendelea kupiga mikwanja mizito endelevu miaka na miaka mpaka sasa lakini bado...
Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu.
Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize.
Wasanii ambao watu...
Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent...
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"
Hii inaonesha wazi jinsi gani...
“I QUIT THE GAME SITAKI TENA MZIKI. F** THIS GAME” Ndiyo ambavyo Prodyuza Yogo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha pembeni yake kwenye caption akaongezea kwa kuandika “Too Much Hunting”.
Bado hajaweza sababu hasa za kuamua kufanya hiyo, maamuzi ambayo yanakuja wiki chache tangu...
Narudia Tena. Diamond Platnumz yupo Marekeni anatafuta pesa Ali Kiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna mind[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.
Wakuu
Alikiba hapewi sifa anazostahili.
Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste.
Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album.
Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania...
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau.
Haiwezekani album yenye nyimbo 16. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album. Album imejaa wa Nigeria, Wakenya, wa Ghana na wa South. Ndio kusema Wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya naye collaboration.
All in all albamu imenikamata.
Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake walau kwa kushika namba 1 kwenye trending videos za youtube, Ni ajabu na wengi wamebaki vinywa wazi...
Huyu mwamba nilikuwa namchukulia poa, hata hvyo huyu jamaa nimegundua ni mtu na nusu kwenye mashairi mazuri, ieleweke mi napenda nyimbo za kusikiliza, ambazo zitaifanya akili yangu ikae itulie iuchambue wimbo kuanzia instrumental, vocal, verses na melody huku nikiwa nimetulia nabarizi na mtoto...
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.