ali kiba

Ally Saleh Kiba (born 1986), known by his stage name Alikiba is a Tanzanian singer, songwriter and footballer. He is the owner of Kings Music label. Ali Kiba released his album Cinderella which broke record as the best selling album in East African countries including Tanzania, Kenya and Uganda. He is best known for his hit songs Mwana, Aje, Chekecha Cheketua, Cinderella, Nakshi Mrembo, Usiniseme, Dushelele, Single Boy with Lady Jaydee, Mapenzi Yana Run Dunia and Macmuga. He also collaborated with R. Kelly and other African musicians on the One8 project. In 2017 he became the director of Rockstar4000.
Following his return after a silence of three years, he released the singles "Mwana" and "Chekecha". He won six awards at the 2015 Tanzania Music Awards and broke the record on Mkito.com for the most downloaded song of 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

    Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa. Kwa muda mrefu...
  2. Chinga One

    Back to Back ya Ali Kiba muathirika ni Harmonize

    Tukumbuke kwamba kwa sasa mziki wa bongo ni kama vile siasa za mpira wa Simba na Yanga,hata ije Azam au Gwambina fc au Namungo bado mashabiki wa hizi timu watakua ni wale wale tu watokanao na Simba au Yanga. Hii ni sawa kwa Muziki wetu umegawanyika kwa team Kiba vs team Diamond,hata wasanii...
  3. goodlif1600

    Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

    Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli...
  4. B

    Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  5. B

    Ali Kiba amfundisha Zuchu namna ya kufanya kazi Youtube

    VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE. Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu naye kafuata ubunifu kama huo wa KINGKIBA wakuachia audio, dance akiwa na madancer wake ampapo baadae...
  6. Libya

    Alikiba ft Barnaba - Cheketua video Out

    Mamamamaa! Nyie! Nyimbo Nzuri Sana ipo huko YouTube ya Barnaba Keep watching good music
  7. mzaramo

    Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

    Tupo kwenye sensa kujua wimbo gani wa King unaokubalika zaidi. Tafadhali husika na Kichwa cha habari hapo juu hatutaki maneno maneno wala hatutaki malumbano na team ujanja ujanja kwenye Uzi huu. Kama humkubali hayo ni mapenzi yako binafsi na kama Huna wimbo unaoukubali kutoka kwake hayo ni...
Back
Top Bottom