Huyu mwamba nilikuwa namchukulia poa, hata hvyo huyu jamaa nimegundua ni mtu na nusu kwenye mashairi mazuri, ieleweke mi napenda nyimbo za kusikiliza, ambazo zitaifanya akili yangu ikae itulie iuchambue wimbo kuanzia instrumental, vocal, verses na melody huku nikiwa nimetulia nabarizi na mtoto...