ali kibao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA. Mwili wa ALI...
  2. J

    Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  3. M

    Hakuna chama hapa, Chadema ni kikundi cha Wasemaji na watoa maoni mitandaoni

    Mgongano wa ndani ndani ya uongozi wa Chadema unaonekana wazi katika namna wanavyoshughulikia Masuala nyeti kama uchunguzi wa utekaji na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu wanatofautiana waziwazi, jambo linalodhihirisha ukosefu wa mshikamano...
  4. J

    Mwakinyo: Mashehe na Masharif wa Tanga wafanye jambo Ili iwe fundisho, siyo kila jambo aachiwe Mungu kuamua!

    Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga ========= Mwakinyo ameandika haya...
  5. D

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  6. mdukuzi

    Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  7. Waufukweni

    Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  8. S

    Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

    Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama . Kawaida...
  9. Bams

    Ni rahisi kuwakamata wauaji wa Marehemu Ali Kibao ikiwepo dhamira ya dhati na iwapo Polisi watatumia mbinu hii

    Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
  10. B

    Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

    Aliyosema Mnyika: Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi. Hawakujitambulisha kama polisi. Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa. "Hawa hawakuwa polisi."...
  11. J

    Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
  12. MAKANGEMBUZI

    Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

    Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale. Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi. Lakini hawa...
  13. The Khoisan

    Hivi hii ya Msigwa kumlipua Mzee Ali Kibao ina ukweli gani?

    Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT! PIA SOMA - TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa...
  14. The Sheriff

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Tumesikitishwa na kifo cha Ali Kibao. Rais aunde Tume ya Majaji kuchunguza wimbi la utekaji na mauaji

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amewapa pole familia ya ndugu...
  15. Roving Journalist

    Freeman Mbowe: Iundwe Tume ya kijaji kuchunguza kifo cha Ali Kibao, Polisi hawawezi kujichunguza

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji Nchini. Amesema Tume hiyo ambayo itachunguza pia tukio la...
  16. Roving Journalist

    Waziri Masauni: Tuache kushutumu, mwenye kielelezo kuhusu mauaji ya Ali Kibao awasilishe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa...
  17. Christopher Wallace

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga

    Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo. Inna lillah waina illah rajiuun ----- Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya...
  18. Komeo Lachuma

    Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

    Huyu Mzee Ali. M. Kibao aliwahi kuwa Mwanajeshi kwa nafasi yenye hadhi kiasi flani. Hakuwa mtu wa mitandao sana. Huwezi msikia akipinga jambo la Serikali au kukemea. Alikuwa silent sana. Na utekaji wake si kwamba alitafutwa atekwe tu auawe randomly. Hapana. Ni mkakati ambao unaweza kuta hata...
  19. Mystery

    Jeshi la Polisi lianze uchunguzi kwa kuwahoji waliokuwemo kwenye basi moja na Ali Kibao, walioona tukio la kutekwa

    Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex. Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye...
  20. Determinantor

    Kuuawa kwa Ali Kibao: Polisi watakuja na sababu za akina Dr. Ulimboka, Prof. Juan na wengine?

    Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi. Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
Back
Top Bottom