ali kibao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Wito: Kufuatia Mauaji ya Mzee Ali Kibao, CHADEMA isipokee salamu zozote za Pole kutoka CCM wala Serikalini

    Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele. Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii. Hawa wote kwa Umoja...
  2. Erythrocyte

    Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa. Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike...
  3. R

    Pre GE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

    Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to mention but a few! Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Kuuawa kwa Mzee Ali Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi

    Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati. Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga...
  5. Chachu Ombara

    CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akizungumza na wanahabari mchana wa siku ya Jumamosi Septemba 7, 2024 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam amesema kuwa... “Kwa aina ya bunduki walizokuwa nazo hao watu waliokuja kumchukua (Mzee Ally Mohamed Kibao ambaye ni...
  6. Erythrocyte

    John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) --- John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti: Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na...
Back
Top Bottom