Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu.
Soma zaidi kumhusu...
Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana.
Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake anakutolea mbavuni. Hakutaka kuitwa Dr..
Idd Amin alipewa Degree ya heshima ya Sheria na Chuo Kikuu Cha...
Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25
Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais...
Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya.
Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja,
Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake
EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe...
Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
Kwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na...
Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu.
Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka nyumbani Chukwani Saa Saba na Nusu
Inalillahi waina ilaihi rajiuna
---
Nimepokea kwa masikitiko...
Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni.
Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022.
Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
akataa
aliyekuwa
conference
debate
kenya
kuhutubia
kuhutubia taifa
matokeo
matokeo ya uchaguzi
mgombea
mgombea urais
odinga
press conference
raila
raila odinga
taifa
uchaguzi
uchaguzi mkuu
urais
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao.
Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao?
Eti ni Hukumu Kali...
Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
Nchini DRC nchi nziam ilizizima kwa majonzi baada ya jino la aliyekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo kupokelewa kutoka nchini ubelgiji ambako limekuwa likihifadhiwa. Imedaiwa kuwa mtu mmoja aliyekuwa askari polisi wakati wa mauaji ya kinyama ya kiongozi huyo aliamua kuhifadhi jino hilo kwa...
Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi mbili za uhujumu uchumi, amejitoa kuwawakilisha watuhumiwa.
Wakili huyo amechukua uamuzi huo leo...
Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema
Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.