====
Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
Wiki moja baada ya kuvuliwa madaraka, aliyekuwa askofu wa Dayosisi ya Konde ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Edward Mwaikali na baadhi ya wachungaji na waumini wamejitenga na kanisa hilo.
Uamuzi huo ulitangazwa Juni 12, 2022, katika Kanisa Kuu la Ruanda Jijini Mbeya na Dkt...
Endeleeni tu kutufanya Mangumbaru ( Wajinga ) na Wapumbavu ( Mapopoma ) kwa kila mara kutufanyia Maigizo yenu wakati tunajua kuwa mnataka kumuachia ila kwakuwa mmeshajua kuwa ana Hoja nzito, mlimuonea hivyo sasa mnatafuta Mazingira ya Kumuachia ili yaishe na msionekane kama mlikuwa mnamkomoa tu...
Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde leo imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali.
Pia imeviondolea wakfu vifaa vya Kiaskofu alivyokuwa anatumia kama pete, msalaba pamoja na fimbo ambavyo alikabidhiwa tarehe 18 Januari 2018 alipowekwa wakfu...
Seneta Cleophas Malala alidunisha kazi ya polisi mbele ya maafisa waliokuwa wakilinda kampeni zake
Afisa mmoja aliyekuwa akilinda gari lililokuwa limewabeba Mudavadi na Wetangula alishindwa kuficha hisia zake akionyesha kusikitishwa kwake na matamshi ya Malala
Afisa huyo alilazimika...
Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake.
Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana.
Huu usemi wa hujafa...
Inasemekana nyumba ya jirani ilikuwa inaungua, na huyu jamaa nyumbani kwao kuna kisima cha maji so akajitolea pamoja na wasamaria wengine kuchota maji na kuzima moto huo, huku wakipiga simu taasisi ya zima moto kwa ajili ya msaada zaidi.
Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.