almasoud dauda

Almasoud Dauda Kalumuna (maarufu kama Kamala) ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka mkoa wa Kagera.

Alikuwa Diwani wa Kata ya Ijuganyondo, Manispaa ya Bukoba.
Mwaka 2025 alichukua na kurudisha fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Almasoud Dauda (KAMALA) amechukua fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Bukoba Mjini

    Almasoud Dauda Kalumuna (KAMALA) leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ikumbukwe Kamala mwaka 2020 alichukua fomu na mara baada ya kura za maoni ndiye alikuwa msindi wa kwanza kati ya watia nia 57 Jimboni Bukoba Mjini japo...
Back
Top Bottom