PreGE2025 Almasoud Dauda (KAMALA) amechukua fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Bukoba Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Almasoud Dauda Kalumuna (KAMALA) leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ikumbukwe Kamala mwaka 2020 alichukua fomu na mara baada ya kura za maoni ndiye alikuwa msindi wa kwanza kati ya watia nia 57 Jimboni Bukoba Mjini japo hakuteuliwa na Chama ili kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi huo.
1751186703115.jpeg
 
Anafanya kazi Gani mkuu?
 
Back
Top Bottom