Muktasari:
Shahidi wa tatu wa utetezi, Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Baada ya maswali ya dodoso kutoka upande wa mashtaka na maswali ya ufafanuzi kutoka upande wa utetezi kukamilika, kesi imeahirishwa kwa saa moja na nusu. Inatarajiwa...
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gulogwa akiongea katika mkutano wa watia nia unaondelea katika ofisi za CHADEMA ameeleza kuwa viongozi wakuu wote ni watia nia isipokuwa yeye, na hata Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu ni mtia nia pia na barua yake ya kutia nia ngazi ya Urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.