amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania yenye Amani bila Uonevu

    Kuna Jambo nimekua nikiliwaza mara kwa mara akilini mwangu lakini naona kadri siku zinavyoenda linazidi kukomaa na kushika mizizi. Tunaishi Tanzania ambayo ni nchi inayosifika kwa amani,lakini ukweli ni kwamba hii nchi amani inayoongelewa ni kukosa vita tu na wala si amani ya mtu mmoja hadi...
  2. DR Congo: Watu 8 wafariki katika maandamano ya kupinga uwepo wa walinda amani wa UN

    Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini. Msafara wa UN ulishambuliwa wakati wakirejea kutoka Mji wa Goma ambapo mgari yao kadhaa...
  3. R

    Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

    Bi Queen apiga magoti na kusema anachohitaji zaidi yeye kwa sasa ni Amani, na kwamba yuko tayari kumuachia Mwaka kila kitu ili abaki na amani na kulea watoto wake. Amesema kuwa anatamani mwisho wao uwe na amani, na kama kuna chochote Dkt. Mwaka anakihitaji basi amwambia ni njia zipi apite...
  4. Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  5. N

    Amani imetawala Tanzania ya Rais Samia

    Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na usalama. Baada ya kutua nchini, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amempongeza Rais Samia...
  6. R

    Chadema ni watu wa Amani sana. Hakuna hata sisimizi aliyekanyagwa

    Hiki chama aisee ni cha kipekee. Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola huwezi kusikia hata Mwananchi mmoja akilalamika kukanyagiwa fungu la nyanya wala dagaa. Ngoja sasa...
  7. Kila nikimsikia Rais Dk. Mwinyi wa Zanzibar Redioni na Runingani anafurahia Amani iliyoko huko je, ni kweli kuna Amani sasa Zanzibar?

    Tafadhali Wazanzibari ( hasa kutoka Pemba ) bila Kuwasahau wa Unguja GENTAMYCINE nauliza je, ni kweli kwa sasa mna hii Amani ya Kudumu ambayo Kutwa namsikia Rais wenu Dk. Hussein Ali Mwinyi anaihubiri Redioni na Runingani? Kazi yangu Kubwa ni kuso ma tu Maoni yenu hapa kwani kwa ninavyowajua...
  8. Msaada nifanye nini niwe na amani?

    Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu! Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana. Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na...
  9. S

    CCM na Upinzani zingatieni amani

    Ni Msimu Wa siasa ndivyo tunavyoweza kusema, tangu mikutano ya hadhara ipigwe marufuku ni muda mrefu Sana. Lakini sasa busara imetumika kuruhusu siasa za majukwaani kuanza. Nasukumwa na uzalendo kuwaomba Wanasiasa Wa upinzani na chama tawala kuendesha siasa zenye tija na weledi ili Tanzania...
  10. Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
  11. Nabii na Mtume Mwamposa karibu hapa Zanzibar uujaze uwanja wa amani

    Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako. Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani...
  12. Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba...
  13. J

    Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

    ..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo. ..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
  14. Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  15. Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  16. J

    CCM Yalaani vikali kitendo cha baadhi ya vyama vya siasa kuanzisha viashiria vya uvunjifu wa amani na mpasuko Zanzibar

    CCM YALAANI VIKALI KITENDO CHA BAADHI YA VYAMA VYA SIASA KUANZISHA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI NA MPASUKO ZANZIBAR CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani Zanzibar kuanza kuhubiri mgawanyiko na kauli...
  17. FIFA wakataa ombi la Zelensky la Kuhutubia kabla ya Fainali za Kombe la Dunia ili kuhamasisha Amani

    Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na Ufaransa siku ya Jumapili kuchezwa, ichezwe video yake uwanjani hapo ili kuhamasisha amani. Zelensky...
  18. KCB yakamilisha ununuzi wa benki kubwa DRC, huku KDF wakiendelea na kusaka amani kule

    Sasa KCB kuhudumia wananchi milioni 90 kule DRC. ======== KCB Group will officially begin operations in the Democratic Republic of Congo (DRC) after its acquisition of a majority stake in the Trust Merchant Bank (TMB) received nod from regulators, allowing it to expand its services into one of...
  19. Rais wa Somalia apata Ph.D ya ilmu ya dunia, raia wake wamuige ili pawe na amani pale

    Elimu ni kitu cha maana sana.... Somalia’s President Dr. Hassan Sheikh Mohamud has joined the club of Africa’s most educated presidents after attaining a Ph.D. in peace studies. Other presidents in Africa are William Ruto of Kenya, Alassane Ouattara of Ivory Coast, Moeketsi Majoro of Lesotho...
  20. Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

    Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana. Almost itakuwa before January. Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…