amani

  1. S

    Kama mke wa Pilato alikosa amani kiasi cha kumsihi mumewe asimuhukumu Yesu asie na hatia,iweje wanadamu wa leo hata nafsi haziwasuti?

    Hata Pilatio mwenyewe hakuona kosa la Yesu ila alitimiza matakwa ya waliotaka Yesu asulubiwe na akanawa mikono akasema na dhambi hiyo iwe juu yao(mstari wa 24). Kuhusu Mke wa Pilato, soma mstari wa 19 katika haya maandiko. Kisa kizima hiki hapa: 11 Yesu akapelekwa mbele ya gavana naye...
  2. Sky Eclat

    Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  3. BAK

    TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections. “General Colin L. Powell...
  4. M

    Baada ya Msomali kuchoma kisu mbunge wa Uingereza leo sijui jamii ya kisomali itaashi kwa amani

    Inakuwaje Wanajamvi! Imethibitika mwanaume MSOMALI mwenye miaka 25 ndo alimuua Tory MP Sir David Ammes kwa kuchoma kisu mara nyingi kifuani huku mashuhuda wakipigwa mayowe ya hatarii. Hii imepelekea jeshi la polisi Uingereza kupitia upya ulinzi wa wabunge na wanasiasa. Wasomali ambao idadi...
  5. F

    Tuache polisi walinde amani

    Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
Back
Top Bottom