1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani.
2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor.
3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei.
Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote.
Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
Nimebahatika kutembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu niliyaona daah.
Kuna wakimbizi wa kishua na hohehae kabisa,
Wale hohehae wana maisha magumu kinyama.
Mule ndani ni kama upo Kongo au Burundi, wana shule zao,wana makanisa yao Kuna mitaa ya kikongo na kirundi.
Mrundi haruhusiwi kukatiza mitaa...
Ufunuo 13:2 BHN
Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu
DANIELI 7
Wanyama wanne wakubwa
1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima na akili zao timamu wanakaa mitandaoni ni kutukanana mambo ya kijinga kijinga kabisa kama vile...
Nakumbuka alipewa kipindi cha kutangaza hip hop Clouds FM, huwa ni siku gani na saa ngapi!??
Nampenda huyu dada ni mzuri jamani, natural lakini hatari na nusu!
Ndugu wanajamvi,, kumekuwa n amsemo maarfu kuwa nchi sasa inaamani katika utawala wa Samia basi mie nikajua ni amani ya kutulia bila kugopa vitisho.
Kumbe watu wa serikalini na wafanyabiashara wakubwa au wanasiasa wakisema hivyo basi wanamaanisha tofuati.
Nimefuatilia watu wazito nilioongea...
Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana.
Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
Miaka mitano iliyopita kuunga juhudi kwa vyama vyote vya siasa ilikuwa kama fashion na Sera ya kutafuta vyeo kwenye vyama.
Sasa tangu aunge juhudi Lazaro Nyalandu kumekuwa na ukimya mkubwa sana.
Juhudi iliyopo nakuungwa mkono ni POCHI LA MAMA
VIJIHELA VYA MAMA
Je, tutegemee kuwaona baadhi ya...
Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo
Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
Emsley "Baba T" Smith
Picha: Ukurasa wake wa Facebook
Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja changu kilimezwa mkononi mwake. Nilikuwa mtembeaji tu na kijana mdogo niliyependa kusikiliza Reggae na...
The best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda...
Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita kwenye hoja hizi:
1). Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna baadhi ya Watanzania na Wabunge...
Kuhusu mwimbo huu kiufupi. Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale walikuwa Waafrika weusi kule Mashariki ya kati baada ya utumwa Misri. Kwa hiyo Waafrika na watu weusi...
Pongezi za dhati ziende kwa serikali na chama tawala toka uhuru. Amani na stability tuliyo nayo ni tunu.
Vyombo vyote vya usalama TISS, Jeshi Polisi n.k Mungu awabariki kwa kusimamia hili.
Nchi imetulia unasafiri mkoa kwa mkoa bila shida yoyote.
Msumbiji huko hakukaliki. Ethiopia sasa hivi...
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.
Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.
Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo
Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya Mwera kisiwani Unguja tarehe 4 Agosti 1905. Karume ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.