Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech.
Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
Hello bosses....
Jana Tarehe 20 April 2022 ilikua ni siku ambayo itaingia kwenye record ya maendeleo kwenye field ya Artificial Intelligence hasa hasa upande wa NLP & NLU (Natural language processing & Natural Language Understanding). Siku hio Amazon walitoa wazi dataset yenye lugha 51 zikiwa...
Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
Jamani habari ndugu?
Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
Habari wadau, naamini mko poa.
Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza online na kupata cheti.
Ningeomba kujua kama kuna mtu ambaye alishafanya mitihani ya amazoni anipe tu...
Mimi ni diaspora hapa US state ya Texas na kwa hii miaka miwili nina nunua vitu vingi mitandaoni kwa kutumia Amazon. Kwasababu serikali inatafuta njia ya kutoza kodi za mitandao US ni mfano mzuri.
Hapa US kila jimbo lina kodi tofauti hivyo mimi hapa Texas nikinunua majani ya chai kodi yangu ni...
Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu COVID-19 yakiendelea kuangaliwa kwa karibu.
Uamuzi huo umekuja wakati kuna ongezeko la wanaolazwa...
Jeff Bezos (57) ameachia rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni maarufu ya Amazon iliyomfanya kuwa Bilionea, na nafasi hiyo itachukuliwa na Andy Jassy.
Bezos ataendelea kuwepo katika Kampuni hiyo Mwenyekiti Mtendaji na ataelekeza muda wake mwingi zaidi kwenye Kampuni yake ya masuala ya anga...
The Ministry of Information Communication and Technology has partnered with E-commerce giant Amazon to offer free training to Kenyan youth in Cloud Computing.
The programme dubbed ‘Amazon Web Services re/Start’ was rolled out last year for countries in Africa.
In collaboration with the Kenyan...
Asalaam Aleykum wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, shida yangu ni kuhusu hizi online market Alibaba na Amazon,
Naomba kwa wanaofahamu wanipe ABCD's kuhusu uaminifu wao, na kama kuna scammers nawatokaje.
Nina hitaji kununua gemstone, niliingia Alibaba nimeona kuna masonara wa Pakistan...
Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM
Natanguliza shukrani.
Habari zenu.
Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine.
Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo
Simu: 0713039875
Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick.
Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia...
Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.
Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Sellers Amazon au eBay hawaship to TZ. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo...
Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200
Imeelezwa kuwa, hivi sasa Bezos (56) ana utajiri wa Dola za Marekani Bilioni 204.6, huku Bill Gates anayeshika nafasi ya pili akiwa na utajiri wa Dola...
Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola.
Je, huyu mzungu anamaanisha nini kuomba kadi ya gharama? Msaada na ushauri wako muhimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.