Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday.
The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
Jeff Bezos ameweka hii message Instagram aliyotumiwa kama private.
===
Amazon founder and CEO Jeff Bezos shared a profanity-laced email he received from an angry customer to Instagram on Sunday, saying that the man was the "kind of customer I'm happy to lose."
The email, sent to Bezos from a...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k
Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua?
Sababu...
Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu.
Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea Mashariki china dubai nk kununua vitu.
Lakini swali linabaki, kati ya hawa magwiji wawili, nani...
Habari zenu, naomba kujua kama kuna mtu aliefanikiwa kujiunga na Amazon Mechanical Turk, na je alijiungaje na mrejesho upoje wa malipo? Kama hujui Mturk ni online working platform.
Habarini ndugu wana jamvi, poleni na shughuli za kila siku. Leo nawakaribisha tujadili au kukumbushana kuhusu Black Friday sale ya mwaka huu.
Black Friday inakaribia kwa kasi, kwa wale wajuzi wa mambo tuelimishane jinsi ya kununua kwenye Amazon kwani kuna hati punguzo nyingi sana.
Binafsi...
Mtandao wa Amazon umelalamikiwa huko India kwa kuuza vidonge vya kusababisha bikra feki.
Vidonge hivyo ambavyo vinajulika kama i-virgin: blood for the first night vinakuwa na unga mwekundu ambao mwanamke anatakiwa jiwekea sehemu yake ya siri na akienda lala na mwanaume basi wakati wa kujamiiana...
Amazon To Set Up Edge Location in Kenya
Amazon Web Services, the cloud computing arm of US E-Commerce giant Amazon has announced plans to establish a new edge location in Nairobi. The new addition will be Amazon’s third location in Africa in addition to the other two in South African cities...
Looking for how to cheaply ship a phone from USA to Kenya (2019)?
When was the last time you checked with the local post office, UPS, Fedex or DHL how much it would cost to ship a phone to Kenya from USA?
For those who rely on using friends and relatives to deliver small items such as phones to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.