Asalaam Aleykum wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, shida yangu ni kuhusu hizi online market Alibaba na Amazon,
Naomba kwa wanaofahamu wanipe ABCD's kuhusu uaminifu wao, na kama kuna scammers nawatokaje.
Nina hitaji kununua gemstone, niliingia Alibaba nimeona kuna masonara wa Pakistan...